Back to General Conference of Seventh-day Adventists

    Machi 8, 2024: Muujiza wa Pathfinder Uso kwa Uso na Maafa; na Habari Zingine za Dunia

    Description

    Katika kipindi hiki cha ANN International: Pathfinders wanapata muujiza wakati basi lao lilishika moto wakiwa njiani kwelekea Camporee ya Pathfinder ya Dunia nchini Ghana. Shirika la Maendeleo na Misaadai la Waadventista (ADRA) linaadhimisha kumbukumbu ya miaka 40 nchini Australia. Akiwa na miaka 99, mwanajeshi wa zamani wa Vita vya Kidunia vya Pili anajitolea katika Misheni ya Caleb huko Espírito Santo, Brazil. Kutoka kwa Kanisa la Waadventista Wasabato Kusini mwa Asia na Pasifiki,uinjilisti wa vikaragosi unazidi kusonga mbele zaidi ya mipaka. Endelea kufuatilia hadithi hizi na zaidi sasa. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea https://adventist.news. ANN ni chaneli rasmi ya habari ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Jiandikishe kwa ANN HAPA: https://www.youtube.com/@AdventistNewsNetwork Penda ANN kwenye Facebook HAPA: https://www.facebook.com/AdventistNews Fuata ANN kwenye Twitter HAPA: https://twitter.com/adventistnews Fuata ANN kwenye Instagram HAPA: https://www.instagram.com/adventistnews